KOWAK GIRLS’ SECONDARY SCHOOL ni shule ya Sekondari ya Wasichana inayo milikiwa na Jimbo katoliki la Musoma na kuendeshwa na Sisters of the Adoration of the Blessed Sacrament (SABS), Shirika la Kitawa la Kanisa Katoliki.
Shule yetu inapatikana mkoa wa Mara, wilaya ya Rorya, kata ya Nyathorogo, kijiji cha Kowak.
Shule imesajiliwa, kwa namba ya usajili S.0508 mnamo Tarehe 03 Mei 1994.
Tunaipokea shule hii kama zawadi ya Mungu kwa watoto wetu. Shule yetu ina mwendelezo wa kutoa elimu bora kakini pia kumjenga mwanafunzi kimaadili na kiimani pia. Shule yetu ina mwendelezo wa matokeo bora kama ifuatavyo